Siku tatu kabla ya kuanza kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 huko Morocco, Zambia imepata pigo baada ya Kocha wake Mkuu, Moses Sichone kuzuiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu ...
KOCHA wa Harambee Starlets, Beldine Odemba, amefunguka kuhusu presha kubwa inayokuja na jukumu la kuinoa timu ya taifa ya ...
TAARIFA kutoka Kenya zinasema aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya wanawake nchini humo, Harambee Starlets, Justine ...
HOFU imezidi kuongezeka kwa mashabiki wa soka huko Misri baada ya timu hiyo ya staa wa Liverpool, Mohamed Salah kutabiriwa na kompyuta mpya kuwa itatolewa mapema katika michuano ya mataifa ...
WAKATI uongozi wa Singida Black Stars ukitafuta beki mwingine wa kati, majina ya nyota wawili yamewekwa mezani, ambayo ni Abdallah Kheri ‘Sebo’, anayeichezea kwa sasa Pamba Jiji kwa ...
STAND United ‘Chama la Wana’ imeanza kunyanyuka taratibu na kupanda juu katika msimamo wa Ligi ya Championship baada ya kupitia changamoto mbalimbali ikiwamo ukata na kupokwa pointi na Bodi ...
ZA ndani ambazo kijiwe kimezinasa katika mchakato wa Simba kusaka kocha mkuu mpya ni kwamba kuna kundi kubwa la makocha wa ...
MANCHESTER United ingeweza kuwasajili wachezaji watatu bora zaidi duniani kwa gharama ndogo, lakini badala yake ilitumia ...
MCHEZAJI wa zamani wa Liverpool, Graeme Souness amesema kuwa suala la Manchester United kumaliza ndani ya nafasi nne za juu ...
Refa mstaafu wa kimataifa wa Tanzania, Victor Mwandike, amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 18, 2025 jijini Dar es Salaam.
Dili la kwanza lilikuwa la Chico mwenyewe na Yanga, licha ya kuwa na mazungumzo na Mazembe lakini kiungo huyo akaletwa nchini ...
MANCHESTER United ingeweza kuwasajili wachezaji watatu bora zaidi duniani kwa gharama ndogo, lakini badala yake ilitumia ...